Jumamosi, 30 Mei 2015

MKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AZINDUA MAONESHO YA 5 YA KAMPUNI YA EAG GROUP LEO JIJINI DAR.


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akikata utepe kuzindua maonyesho ya 5 ya Kampuni ya EAG Group Ltd yanayofanyika leo katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam,kutoka kushoto ni Msanifu majengo wa wizara ya Ardhi Julius Ndege na Mkurugenzi mkuu wa EAG group Ltd Imani Kajula.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akipewa maelekezo alipotembelea banda la DEGE Eco Village na  Mkurugenzi  na Afisa Masoko wa DEGE Eco Villag,Ashar Malik katika maonyesho ya 5 ya EAG Group Ltd yanayofanyika leo katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika maonyesho ya 5 ya kampuni  EAG Group Ltd yanayofanyika leo katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. PICHA NA EMMANUEL MASSAKA,