Edward Lowassa Amjulia Hali Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Aliyelazwa Muhimbili
Aliekuwa
mgombea urais kwa tiketi ya Chadema ,Edward Lowassa leo amemtembelea
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry aliyelazwa Hospitali
ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo juzi