Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mbeya Mjini John Mwambigija alisema kuvuliwa Uongozi wake njia iliyotumika sio sahihi.Hata hivyo imebainika Tayari mwambigija ameshawishi baadhi ya Wanachama waweze kuandamana ili arudi kwenye nafasi yake ya Uenyekiti wa Wilaya .