Jumamosi, 23 Mei 2015

NAIBU KATIBU MKUU BARA MH JOHN MNYIKA AKIONGEA JAMBO KATIKA MAAFARI YA WANAYUO VIKUU (HADEMA) CHASO


Naibu katibu mkuu bara Mh JOHN MNYIKA akiongea na wahitimu wa elimu ya vyuo vya juu katika ukumbi wa LAND MARK uliopo UBUNGO, Akiungumia tatizo ambalo ni sugu kwa serikali ya chama cha mapinduzi kutekelea ahadi na kufata katibu ya nchi kwa kuwapatia wanafunzi mikopo ya elimu ya juu kama ilivyo, akiwakumbusha wanafunzi hao juu ya kutopatiwa mikopo hiyo n huku serikli kupitia mkaguzi mkuu wa serikali ACG kutangaza ubadhilifu mkubwa wa fedha za umma wa trilioni 1.2 na kuwacha wanafunzi wakiangaika. Hili limetokana na tukio la 22/5/2012 katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kufanya maandamano kuelekea bungeni kushinikizi kupatiwa mikopo yao ya elimu ya juu, Akiitaka serikali kutokuvunja haki za binadamu kwa kutumia vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuwapiga wananchi wanaodai haki zao za msingi, akiambatanisha na tukio la kukamatwa kwa wanafuni wa UDOM wapatao 15 kwa kosa la kushindikia kufanya maandamano.