Jumapili, 23 Agosti 2015

MASTALA DASANI CUP 2015 YAMALIZIKA JIONI YA LEO CHUMA CHAKAVU WATOA UBINGWA KWA MARA NYINGINE

Mkurugenzi wa Ajim Enteprises ltd ambaye alikuwa Mgeni Rasmi  James Mwampondele Akitoa nasaha  kwa Timu shiriki

 Mchezaji wa Timu ya Ilemi Fc akiwa  ananyanyuliwa na Mbega Daffa mchezaji Chuma Chakavu
Baadhi ya Wachezaji wa Netboli wakiwa wamevalia  jezi za Ajim Enterprises Ltd Ambapo Kampuni ya Ajim Enterprises Ltd imetoa zawadi kwa Mshindi wa Netboli kiasi cha shilingi laki tano seti moja ya jezi wa pili laki tatu ,na Watatu walijapitia kiasi cha shilingi laki moja .

Mwandishi wa Habari Mkongwe Thom Chilala naye alikuwepo uwanjani kwenye Mashindano ya Mastala Cup Digital 2015
 Mabingwa wa Mastala Dasani Cup 2015 Wakiwa kwenye picha ya pamoja leo katika uwanja wa Uhasibu Mafiat

Washindi wa pili wa Mastala  Dasani Cup 2015 Wakiwa katika picha ya pamoja katika uwanja wa Uhasibu Mafiat