Jumanne, 31 Machi 2015

HATIMAYE BAADHI YA MADUKA JIJINI MBEYA YAFUNGULIWA


Takribani siku tano ambazo maduka ya wafanyabiashara jijini mbeya yalionekana kufungwa leo shughuli zimeendelea kama kawaida  baada ya mwenyekiti wa masoko uhindini mbeya kuagiza wafanyabiashara kufungua maduka yao .Tofauti nyingine ambayo imeonekana wafanyabiashara wa mwanjelwa wao wameendelea na mgomo wa kufungua maduka yao kwa habari zaidi tutaendelea kukujuza kinachoendelea.