Jumamosi, 22 Agosti 2015

YANGA MABINGWA YAIPA KICHAPO AZAM FC


KWENYE Mechi ya kufungua pazia Msimu mpya wa Soka wa 2015/16 wa Tanzania Bara Mabingwa wa Ligi Kuu Vodacom, Yanga, wameibwaga Azam FC kwa Mikwaju ya Penati 8-7 baada ya Sare ya 0-0 katika Dakika 90.
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KWENYE PENATI:
-Kipre Tchetche anafunga Penati ya kwanza kwa Azam
-Nadir Cannavaro anapiga Kipa Aisha Manula anacheza Mpira.
Yanga 0 - Azam 1
-Boko anafunga Penati ya pili.
-Niyonzima anafunga
Yanga 1 - Azam 2
-Himid Mao Mkami anaipa Bao Azam
-Deus David Kaseke anaifungia Yanga
Yanga 2 - Azam 3
-Paschal Wawa NJE
-Amiss Tambwe Goli Yanga
Yanga 3- Azam 3
-Aggrey Morris kwa Azam
-Coutinho kwa Yanga
Yanga 4 - Azam 4
-Mugiraneza Goli Azam
-Mwashiuya Goli Yanga
Yanga 5 - Azam 5
-Erasto Nyoni
-Kamusoko
Azam 6 - Yanga 6
-Shomari Kapombe
-Mbuyu Twite
Yanga 7 - Azam 7
-Ame Ally Zungu anapiga Barthez anaokoa
-Kelvin Yondani anafunga..YANGA WASHINDI
VIKOSI:
AZAM FC: Manula, Kapombe, Nyoni, Morris, Wawa, Farid, Domayo, Himid Mao, Bocco, Tchetche, Mudathir Yahya.
YANGA: Mustapha, Twite, Haji Mwinyi, Haroub, Yondani, Said Juma, Msuva, Kamusoko, Tambwe, Ngoma, Mwashiuya.
REFA: Martin Saanya
LIGI KUU VODACOM
RATIBA-Mechi za ufunguzi
Jumamosi Septemba 12
Ndanda v Mgambo Shooting (Nang’wanda - Mtwara)
African Sports v Simba SC (Mkwakwani - Tanga)
Majimaji v JKT Ruvu (Majimaji - Songea)
Azam FC v Tanzania (Azam Complex – Dar es Salaam)
Stand United v Mtibwa Sugar (Kambarage - Shinyanga)
Toto Africans v Mwadui (CCM Kirumba - Mwanza)
Jumapili Septemba 12
Yanga v Coastal Union (Taifa – Dar es Salaam).