Kampuni ya Coca-Cola kupitia maji ya dasani yamempa willy mastala udhamini wa kiasi cha shilingi milioni 8 kwa ajili ya mashindano ya dasani mastala cup 2015 yanayotalajiwa kuanza leo katika viwanja vya shule ya msingi mwenge akiongea na vyombo vya habari mkurugenzi wa cocacola nyanda za juu kusini Mr.Gary bay amesema lengo la mashindano hayo ni kukuza vipaji vya vijana lakini pia kutangaza bidhaa zao mpya kama vinywaji vyenye ujazo tofauti tofauti vinavyozalishwa na kampuni yao ya cocacola pamoja na maji ya dasani
moja mitambo ya uzalishaji iliyopo katika kiwanda cha cocacola kilichopo mkoani mbeya.
mratibu wa mashindano ya dasani mastala cup akiongea na vyombo vya habari leo hii