Jumatano, 1 Julai 2015

mwili wa mama yake juma mwambusi wazikwa jioni hii

 mwili wa marehemu Bi stumai jafari wazikwa jioni hii katika makaburi ya nonde yaliyopo jijini mbeya
 kocha juma mwambusi akiwa anapewa faraja na ndugu na jamaa jioni ya leo nyumbani kwao sokomatola kabla ya mazishi leo kulia ni mwanamichezo shabani na aliyevalia barakashia ni katibu wa mrefa mkoa wa mbeya
wakazi wa mbeya wakiwa wamejitokeza kuja kumsindikiza mama mzazi wa juma mwambusi siku ya leo