Mh January Makamba akiwapungia mkono wananchi na wanachama wa CCM mkoa wa Mbeya wakati akishuka kutoka garini, wananchi hao walifika hapo katika ofisi za CCM wilaya Mbeya Mjini kwa aijili ya kumdhamini.
Mh January Makamba na mkewe, Ramona Makamba wakisalimiana na wananchi pamoja na wanachama wa CCM mkoa wa Mbeya mara baada ya kuwasili katika viwanja vya ofisi za CCM wila ya Mbeya Mjini.
Mh January Makamba akiweka sahihi katika kitabu cha wageni katika ofisi ya katibu wa CCM wilaya ya Mbeya Mjini mara baada ya kuwasili katika ofisihizo, kushoto ni mke wake Ramona Makamba. Mh January Makamba katika ziara yake ya kusaka wadhamini ndani ya chama ambao watamuwezesha kuteuliwa kuwania nafasi ya urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CCM.
Mh.january makamba akiongea na wazee wa chama cha mapinduzi mkoa wa siku ya leo katika viwanja vya ccm vilivyopo mkoani mbeya
mh january makamba akiongea na vijana mbalimbali waliojitokeza kumdhamini siku yaleo .mh makamba yeye alisema ana muda wa kupakana matope na mtu yoyote atakayechaguliwa yeye ataungana nae kupeperusha bendera ya chama cha mapinduzi ccm