Jumatatu, 8 Februari 2016

KADA WA CCM CHARLES MWAKIPESILE ASEMA UWANJA WA SOKOINE UNAHITAJI MATENGEZO


Kada wa Chama cha Mapinduzi Charles Mwakipesile Kuwania nafasi ya Uchumi na Fedha Mkoa wa Mbeya akizungumza na Mtandao huu katika Uwanja wa Sokoine endapo atapata nafasi ya jina lake kulejeshwa na kuchaguliwa na wanachama wake  CCM moja ya mipango yake ni kufanya malekebisho makubwa ya kutengeneza uwanja wa sokoine ikiwemo sehemu ya watazamaji mfano  mvua ikinyesha mashabiki uwa wanapata tabu .akaenda mbali na kuzungumzia kuwa mikakati yake ni kuyakusanya makampuni mbalimbali na kuzungumza nayo na kuweza kukarabati uwanja wa sokoine mbeya na kuwa wa kisasa zaidi.