Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Yanga bado ni jerry muro
mkurugenzi wa habari na mawasiliano jerry muro bado ni muajiriwa wa klabu ya yanga jana habari zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii pamoja na magazeti .uongozi wa yanga umethitisha bado yupo na hawana muda wa kuachana naye.