Jumatatu, 9 Novemba 2015

MH MBUNGE JOSEPH MBILINYI AMEKABIDHI COMPUTER KATIKA SHULE ZA LEJIKO NA KALOBE SECONDARY

Mwakilishi wa Mbunge Abuu Mwakabaga Akikabidhi Computer Kwa Mwalimu  Mkuu wa Kalobe (Picha Kwa Hisani Ya Kwame )
Wanafunzi Wa Shule ya Lejiko wakiwa Wamebeba Vichwa vya Computer wakiwa na Mwalimu wao (Picha Kwa Hisani Ya Kwame )