Ijumaa, 17 Aprili 2015

MGOMO WA MAGARI YAENDAYO TUKUYU NA KYELA YASABABISHA AJARI MKOANI MBEYA LEO HII




Ajari iliyotokea leo Mkoani mbeya iliyosababisha zaidi ya abiria 17 kufariki dunia  kufuatia mwendo kasi wa daladala iliyokuwa inatokea MBEYA kwenda TUKUYU kupata  ajari maeneo ya kiwira darajani umesababishwa na mgomo wa madereva wa gari za kosta na. kufanya gari ilo kuiba  ruti ya kwenda tukuyu na kuacha ruti  za sokomatola na uyole.Harubu tz inapeleka lawama kwa uongozi wa sumatra mbeya kutokagua magari pamoja na madereva kabla ya kuruhusu kuanza safari za kwenda nje  wilaya hii inaweza kuwa fundisho kwa serikali hasa watu waliopewa madaraka kusimamia maeneo yao ya kazi .mwisho kabisa mungu saidia wale wote waliotangulia mbele ya haki.