Jumatatu, 9 Novemba 2015

MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI,AMJULIA HALI BI HELLEN KIJO BISIMBA



   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli 
akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za Binadam,Bi 
Hellen Kijo Bisimba aliyelazwa hospital ya Agakhan mapema leo kufuatia 
ajali ya gari aliyoipata mwishoni mwa wiki barabara ya Al-Hassan Mwinyi 
jijini Dar, Dkt Magufuli pia amefanya ziara ya kushtukiza katika 
hopsitali ya Taifa ya Muhimbili ikiwemo pia alitembelea wodi mbalimbali 
za wagonjwa na kuwajulia hali zao.

 
KWA HISANI YA MICHUZI BLOG