Leo ndio Ilikuwa Siku ya Mwisho ya Kuludisha Fomu za Makada Mbalimbali waliochukua Fomu za Kuwania Ubunge na Udiwani na Miongoni mwa Waliochukua fomu na kurudisha leo Kipenzi cha Vijana wa Mbeya James Mwampondele Amesema kuwa Endapo Atapata Ridhaa ya Kuteuliwa na Chama Chake Cha (CCM) Ataitekeleza Ilani ya Chama Chake.