Mary Mwanjelwa awashukuru wana mbeya na wanachama wa ccm mkoa wa Mbeya lakini pia amewaambia wakazi wa mkoa wa mbeya kuwa ataendeleza yale aliyoyaanzisha atayaendeleza lakini pia alizungumzia kuhusu uchaguzi kwa upande wa matokeo kuwa asiyekubali kushindwa si mshindani.pia alizungumzia barabara ya kutoka uyole hadi mjini sasa ile foleni ya kuboa watu kuanzia bunge lijalo itakuwa ni historia baada ya yeye kulipigania eneo ilo kwa muda mrefu.Alisema moja ya kazi ambazo amezifanya kwa muda mrefu ni mikopo ya kina mama kupitia kampuni ya vodacom ambayo ilimpa tafu ,lingine alizungumzia Uhusiano na jamii alisaidia misikiti ,makanisa,walemavu,mtu mmoja mmoja ,amesaidia michezo kwa vijana,amesaidia burudani nk.
MH MARY MWANJELWA MOJA YA AHADI ZAKE AMBAZO ALIKWISHA ZITOA KWENYE MICHEZO YA MPIRA WA MIGUU KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 5 ILIYOPITA