mh steven wasira akiwa na wadhamini wake kwenye picha ya pamoja leo mkoani mbeya
Katibu wa ccm mkoa wa mbeya akimpataia fomu ya wadhamini mh wasira katika ukumbi mdogo wa ccm uliopo sokomatola jijini mbeya leo .
waandishi wa habari wakiwa wanafuatilia kwa makini hotuba fupi ya mh wasira katika ukumbi wa ccm