vijana wa timu ya felali fc leo wamefanikiwa kutinga hatua ya fainali baada ya kuipa kichapo cha goli moja kwa bila timu ya ilomba leopards bao la timu ya felali fc lilipatikana dk ya 73 ya mchezo kupitia kwa mchezaji wao hatari festo anton kwa kiki kali hata hivyo pamoja na ushindi huo vijana wa felali fc walicheza vizuri katika vipindi vyote viwili na kuwapa burudani ya kutosha mashabiki waliofika uwanjani siku ya leo .jumamosi itakuwa fainali kati ya ilemi fc dhidi ya felali fc itakuwa ni patashika nguo kuchanika.
mashabiki waliojitokeza kushuhudia mchezo wa leo kati ya felali fc na ilomba leopards
timu ya ilomba leopards wakiwa wanajipanga baada ya kuchapwa goli na felali fc