Jumanne, 30 Juni 2015

cocacola kwanza kupitia maji yake ya dasani yampa udhamini willy mastala

Kumekucha na makucha yake ile dabi iliyokuwa inasubiliwa kwa hamu kubwa na wadau wa soka leo ndio leo ni kombe la hisani la Dasani mastala cup digital 2015 katika uwanja wa shule ya msingi mwenge kati ya ilemi fc watoto wa ilemi wakicheza na chuma chakavu  ambapo mshindi atajipatia pesa taslimu kiasi cha shilingi laki moja msikilize mratibu wa mashindano akijinadi hapojuu.