Ijumaa, 22 Mei 2015

Rais kikwete aendesha kikao cha kamati kuu.


Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu Mwenyekiti Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein(kushoto), Makamu Mwenyekiti Bara Ndugu Philip Mangula(kulia) na katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana(watatu kushoto) wakati ufunguzi wa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kinachofanyika katika ukumbi wa White House Mjini Dodoma.
 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM mjini Dodoma leo jioni.
 Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM wakipia ajenda za kikao hicho leo katika ukumbi wa White House Makao makuu ya CCM mjini Dodoma leo jioni.