Jumatano, 15 Aprili 2015

VITA YA LIGI KUU KUENDELEA TENA LEO AZAM NA MGAMBO TZ PRISONS NA MTIBWA


Tz prisons watoto wa mbeya leo watakuwa na kibarua kigumu kupambana na mtibwa sugar ya mkoani morogoro katika uwanja wa turiani manungu mchezo ambao unatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni .mchezo mwingine unaochezwa leo ni Mgambo shooting na Azam fc katika uwanja wa mkwakwani jijini tanga hii itakuwa ni nafasi nyingine kwa Azam kwa mchezo wa leo kuendelea kujiweka katika nafasi nzuri ya kugombea nafasi ya kutetea ubingwa wake