Ijumaa, 24 Aprili 2015

MBWANA MAKATA AMEKIRI PRISONS INA MAPUNGUFU





Kocha wa timu ya tanzania prisons Mbwana makata amekiri timu yake ina mapungufu mengi amesema kazi yake yeye ni kufundisha tu .amesema wanawakati mgumu katika michezo iliyobaki kwani hadi sasa wamebakiwa na mchezo wa jumapili dhidi ya mgambo jkt ,mbeya city na kagera sugar mchezo ambao utapigwa mkoani shinyanga wiki chache baadae hadi hivi sasa tanzania prisons inashika nafasi ya 14 ya msimamo wa ligi kuu ikiwa ina pointi 22 na michezo 23 hata hivyo wazee wa jiji la mbeya wameomba vijana wao wajitume katika michezo iliyobakia .