Ijumaa, 24 Aprili 2015

JK KUZINDUA KITABU CHA PILI CHA HISTORIA YA MIAKA 50 YA MUUNGANO LEO


RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta JAKAYA MRISHO KIKWETE anatarajiwa kuzindua Kitabu cha pili kinacho husu historia ya safari ya miaka Hamsini ya Muungano leo.
Mwandaaji wa Kitabu hicho JAVED JAFFERJI amesema kuwa kitabu hicho kimeelezea historia ya Tanganyika na Zanzibar pamoja na safari ya muungano kikiwa na matukio ya kishujaa na kihistoria yaliyo wahi kufanyika hapa nchini.