Jumanne, 16 Septemba 2014

TEMEKE FC YAFUNGISHWA VIRAGO MALAFYALE CUP

Timu yaTEMEKE FCya sokomatola  imeaga rasmi mashindano ya MALAFYALE CUPyanayofanyika katika uwanja wa shule ya msimgi mbata baada ya kukubali kipigo cha mabao mawili kwa moja dhidi  ya timu machachari ya ZARAGOZA FC  kutoka kitongoji cha ghana