Jumatatu, 15 Septemba 2014

MBOYE ANG'ARA TENA


MATOKEO RASMI:
Uchaguzi mkuu umefanyika kwa amani kabisa na yafuatayo ndiyo matokeo rasmi:
Makamu Mwenyekiti zanzibar
Said Issa Mohamed 645 Hamad Mussa Yusuph 163
Makamu Mwenyekiti Bara
Professor Abdallah safari  Kura za Ndiyo 775 Kura za Hapana 34 Zilizoharibika 2
Mwenyekiti Taifa
Freeman Aikael Mbowe 789 Gambaranyera Mong'ateko 20 Zilizoharibika 2
Ushindi wa Freeman Mbowe ni asilimia 97.3%
Sasa ni Rasmi Freeman Mbowe ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA kwa kipindi cha tatu cha mwaka 2014-2019