wachezaji wa timu ya tanzania prisons jana wameshiriki katika kuhusindikiza mwili wa marehemu mama ndibalema ambaye alikuwa shabiki namba moja wa michezo jijini mbeya hasa mchezo wa football marehemu ameacha watoto wawili.mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amen.