Ijumaa, 5 Septemba 2014

MSAFI WA WASAFI AENDELEA KUNG'ARA

Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za
CHOAMVA mwaka huu. Diamond
ametajwa kuwania vipengele vinne
ambavyo ni pamoja na 
 
MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR, 
MOST GIFTED NEW COMER, 
MOST GIFTED AFRO POP
na MOST GIFTED EAST AFRICA