Jumatatu, 16 Novemba 2015

HATIMAYE JOB NDUGAI ATEULIWA KUGOMBEA USPIKA


Kamati ya wabunge wa CCM leo wampitisha Job Ndugai kuwania nafasi ya Spika wa Bunge baada ya wagombea wengine; Abdula Mwinyi na Dk Tulia Ackson kujitoa kuwania nafasi hiyo.