Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM kumnadi mgombea urais Dk John Magufuli wilayani Masasi leo. Dk Magufuli amesema kuwa CCM ikishinda Serikali itajenga Reli kuanzia Mtwara hadi Mbamba Bay Ruvuma
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Masasi, mkoani Mtwara leo.
Mfuasi wa CCM akiwa amejichora usoni huku kidevuni akiwa aqmeandika jina la Mgombea Urais wa Tanzania kuptia CCM, Dk Magufuli.
Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akitoa ahadi mbalimbali za maendeleo endaqpo akichaguliwa
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika leo wilayani Namtumbo, Ruvuma. Dk Magufuli alitangaza kwamba akichaguliwa atahakikisha vifaa vya ujenzi bei yake inashuka kupunguza kodi.
Dk Magufuli akionesha Ilani ya Uchaguzi kabla ya kumkabidhi Mgombea ubunge jimbo la Namtumbo. Injinia Edwin Ngonyani
Mama mkazi wa Kijiji cha Chomolo, wilayani Namtumbo, mkoani, akishangilia baada ya Dk Magufuli kutangaza kwamba akishinda urais kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne hawatolipa ada
Dk Magufuli akihutubia baada ya kuzuiwa na wananchi katika Kijiji cha Kilimasela wilayani Namtumbo, alipokuwa akienda kufanya kampeni Masasi mkoani Mtwara

Dk Magufuli akihutubia baada ya kuzuiwa na wananchi katika Kijiji cha Nandembo wilayani Tunduru, alipokuwa akienda kufanya kampeni Masasi mkoani Mtwara
Dk Magufuli akihutubia baada ya kuzuiwa na wananchi katika Kijiji cha Matemanga wilayani Tunduru.
Akina mama wakiwa karibu na mti wenye picha ya Mgombea urais kupitia CCM, Dk John Magufuli
WAFUASI WA ccm wakishangilia wakati Dk Magufuli akijinadi
Ni furaha iliyoje kwa Bibi kizee huyu baada ya kumuona Dk Magufuli wakati wa mkutano wa hadhara mjini Tunduru leo
Dk Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Tunduru
Mrembo akiwa amejiremba ki ccm katika mkutano huo wa kampeni mjini Tunduru
Baadhi ya wananchi wakiwa juu ya ukuta ili wapate kumuona Dk Magufuli akihutubia mjini Tunduru
Dk Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ramo Makani
Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dk Magufuli
Dk Magufuli akiwapongeza wafuasi wa CUF waliokihama chama hicho na kujiunga na CCM KATIKA MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA MJINI TUNDURU
Mambo ya warembo wa ccm
Msafara wa Dk Magufuli ukiwasili katika Kijiji cha Ligunga, wilayani Nanyumbu, Mkoa wa Mtwara
Mwanafunzi akiwa akiparamia mti ili aweze kumuona Dk Magufuli
Dk Magufuli akihutubia wananchi waliomzuia katika Kijiji cha Michiga, wilayani Nanyumbu alipokuwa akienda Masasi kuendelea na kampeni