Jumatano, 2 Septemba 2015

MAGUFULI ATIKISA MJINI MTWARA


 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akijiachia jukwaani pamoja na wasanii wa kundi la Yamoto Band kwenye uwanja wa Mashujaa mkoani Mtwara.
 
 Wakazi wa mji wa Mtwara ambao walijitokeza kwa wingi ndani ya uwanja wa Mashujaa, mjini Mtwara kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM,Dkt John Magufuli
 Wananchi wakiwa wamekusanyika ndani ya uwanja wa Mashujaa mkoani Mtwara ,wakimsikiliza Dkt John Pombe Magufuli
  Wananchi wakiwa wamekusanyika ndani ya uwanja wa Mashujaa mkoani Mtwara ,kumsikiliza Dkt John Pombe Magufuli.

Msanii wa Muziki wa Kizazi kimya,Ali Kiba akiimba mbele ya maelfu ya wananchi wa Mtwara jioni ya leo kwenye mkutano wa Kampeni wa CCM,ambapo Dkt John Pombe Magufuli aliwahutubia.