Jumamosi, 26 Septemba 2015

MGOMBEA UDIWANI KATA YA MAENDELEO MODEST SHIYO AZINDUA KAMPENI ZAKE

 Mgombea Udiwani Kata ya Maendeleo Modest Shiyo Akikabidhiwa Ilani ya Chama Chake
 Mwenyekiti wa Vijana Wilaya ya Mbeya Mjini Matukuta akiongea na Wakazi wa Sokomatola Kuwa Chama Cha Mapinduzi Kinakwenda na Utaratibu wa  \Kiongozi Kufuata Kanuni ya Chama.
 Mgombea Udiwani  Wa Kata  ya Sisimba Shadrack Makombe Akiwa anatoa Nasaha Katika Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani wa Bwana shiyo Kata ya Maendeleo
 Mzee Sinkalla Diwani Mstaafu katikati Akiwa anafuatilia Uzinduzi waUdiwani katika Kata ya Maendeleo Ambao umefanyika Katika Uwanja Ngoma.
 Mashabiki wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa Wanaburudika kwa Nyimbo na Mapambio