Jumapili, 4 Oktoba 2015

TUSKER LAGER NA GENERATION FM WAFANYA KWELI NDANI YA GAMBINO PUB MBEYA

 Usiku wa Kufanya Kweli na Tusker Lager Feby Mtangazaji Generatin Fm Akitoa Zawadi ya Tshirt.
  Mwana Dada Mahiri na Mtangazaji Machachari wa Generation Fm Akiendelea Kutoa  zawadi
 Wateja  wa Gambino Pub Wakifuatilia  Promotioni ya Tusker Lager kwa Umakini Mkubwa.
 Hapa ni Mwendo wa Tusker Lager Kwa Kwenda Mbele Hawa ni Wateja Wakiburudika
Huyu Jamaa Alisema  Tusker Lager Hata Unywe 100 Ukiamka Asubuhi Unakuwa Fiti Kabisa