Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Sambwee Shitambala akizungumza na Wananchi wa Ilemi
Sambwee akiwaomba wananchi waliojitokeza kwa wingi siku ya tarehe 25 mwezi wa 10 kumpa kura
Wananchi wa Ilemi waliojitokeza kumsikiliza shitambala wakinyoosha mikono ya kumuunga mkono
Mwandishi wa habari Mkongwe Gwamaka Mwankota akiwa kikazi zaidi katika kata ya Ilemi
Sambwee akiwa anaondoka eneo la mkutano wake katika kata ya ilemi na ulinzi wa Green Guard
Wananchi wa Kata ya Ilemi wakiwa wanamuaga Sambwee Shitambala kwa Nderemo na Vifijo