Mbunge wa Kuteuliwa na CCM Mh Mary Mwanjwela akimwaga sera zake katika viwanja vya Iganjo
Meneja Kampeni wa Mgombea Ubunge Sambwee, Charles Mwakipesile akimnadi Sambwee
Mwenyekiti wa Vijana Mkoa wa Mbeya Amani Kajuna alisema makundi kwake yalikwisha
Mwenyekiti wa Muunganiko wa Vyama vya Siasa ukitoa Ukawa akiwa na Shitambala