Jumatatu, 13 Julai 2015

Yanga yaichapa 3-0 timu ya polisi kombaini katika mchezo wa kirafiki katika uwanja aw taifa.

Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akijiandaa kupiga mpira huku beki wa timu ya Kombaini ya Polisi,  Salmin Kiss akijaribu kumzuia katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 3-0. (Picha na Francis Dande)
Timu ya polisi wakijalibu kuokoa hatari langoni mwao hamisi tambwe akiruka juu kujaribu kuipatia bao timu