Katikati Aliyevalia Gwanda la Chadema Wenzake Wakiwa Wanamtoa Nje ya Ukumbi Baada ya Kugundulika Kuwa Amevujisha Siri ya Baadhi ya Wanachama Wamekula Mtonyo Kutoka kwa Wagombea Ubunge.Ndipo Kasheshe Likazuka Jamaa Akataka Kuwachoma Na Kisu Wenzake.
Mh Joseph Mbilinyi Anayetetea Nafasi Yake ya Kupeperusha Bendera ya Chadema Akiwa na Wajumbe wa Chama chake cha Chadema Nje ya Ukumbi wa Nyerere Uliopo Katika Chuo Cha Must .
Wanachama Wa Chadema wakiwa Nje ya Ukumbi Waliokuwa Wanapigia Kura Wakiendelea Kusubiri Kutangazwa Kwa Mwakilishi Mmoja Atakaye Peperusha Bendera ya Chadema Kupitia Jimbo La Mbeya Mjini Nafasi ya Kugombea Ubunge.