Uchaguzi wakuteuliwa wabunge wa viti Maalumu joto lilopo hadi sasa Mary mwanjelwa anaonekana ataendelea kutetea Ubunge katika mkoa wa Mbeya.
Wagombea Ubunge wa viti Maalumu mkoa wa Mbeya wakiwa kwenye sura tofauti tofauti kusubiri majibu.
Mkuu wa wilaya ya Mbeya mjini Akiwa na mwenyekiti wa zamani (UWT)