Jumatatu, 13 Julai 2015

Jeshi la polisi jijini dar es salaam lakamata majambazi katikati ya jiji wakiusishwa na ujambazi unaondelea nchini majambazi hayo walikuwa wanalushiana risasi na jeshi la polisi lakini kwa umakini wa jeshi la polisi limewakamata

Mmoja ya jambazi ambalo limekamatwa leo mchana ambao walikuwa wakilushiana risasi na jeshi la polisi nchini.
Majambazi yaliyokamatwa leo yakiwa chini ya ulinzi wa jeshi la polisi kama unavyowaona majambazi hayo ambao walikuwa wakifutiliwa na jeshi la polisi kutokana na matukio ya ujambazi.