Ijumaa, 3 Julai 2015
geofrey mwashiuya awa dili viongozi wake waja juu dhidi ya mkataba wake wasema ana mkataba wa miaka minne pia wampa jerry muro siku saba afute kauli yake .kocha maka atimaye naye amwaga wino wa miaka 2 kimondo fc
klabu ya timu ya kimondo fc inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini imetoa tamko juu ya mchezaji wao geofrey mwashiuya ambaye ameichezea yanga dhidi sc villa katika mchezo wa kirafiki ambao yanga walikuwa wakiwatambulisha wachezaji wao .kupitia mkurugenzi wa klabu ya kimondo Elick ambakisye amesema anasikitishwa na klabu ya yanga kwanza kumshutumu yeye ni mhuni ,mchawi ,binafsi amefedheheshwa na kutolewa utu wake .ametoa siku saba kwa uongozi wa yanga kumuomba radhi kuanzia leo hii.pili mchezaji wake bado ni halali kwa sababu ana mkataba wa miaka minne uliopo hapo chini
Kocha maka aliyewahi kuifundisha timu ya mbeya city na timu ya panone fc ya mkoani kilimanjaro hatimaye amemwaga wino katika klabu ya kimondo fc kwa muda wa miaka miwili .alipoulizwa ni sababu gani iliyomfanya amwage wino kimondo fc amesema kwanza ni nyumbani pili maslahi .