Sakata la mchezaji wa simba Ramadhani singano uongozi wa simba umesema swala hilo la mvulugano kati ya meneja wa mchezaji wa singano na uongozi wa simba na wao kama simba wameamua kulipeleka swala hilo polisi wao wafanye uchunguzi la kufanya udanganyifu wa kusaini mkataba .hata hivyo ameonekana msemaji wa simba hajji manara kuongea mara kwa mara tutakwenda polisi .hata hivyo tunasubili majibu ya TFF wao ndio wanajua ukweli kwamba hana mikataba ya miaka 2 au mitatu