Jumanne, 21 Aprili 2015

YANGA YAPATA USHINDI KWA TABU DHIDI YA STENDI UNITED


Yanga waendeleza ushindi dhidi ya Stendi united  leo timu ya yanga ilionekana kucheza mchezo bila mabeki wake wa kutegemewa Nadir canavaro pamoja na Kevin yondani hata hivyo shukrani ziende kwa simon msuva ambaye alifunga goli la ushindi kwa timu yake kwa njia ya penati.Stendi united leo walicheza vizuri sana na kuonesha walikuwa na nia ya kupata pointi tatu,magoli ya yanga yalifungwa na hamisi tambwe na goli la pili lilifungwa na mrisho khalifan ngassa na kufanya matokeo yabakie yanga tantu na stendi united 2 kesho ni simba na mgambo jkt uwanja wa taifa.