Jumanne, 21 Aprili 2015

Wastar apata ajari




Msanii wa filamu bongo Wastara Juma amepata ajali mbaya ya gari hapo jana, kupitia ukurasa wake wa facebook Wastara ameonyesha hisia zake kuhusu ajari hizo zinazomkumba mara kwa mara na akiomba watanzania wamuombee akidai kuna watu wabaya wanahusika katika hay
“DUA ZENU MUHIMU SANA KWA MBAO MNAONIPENDA NA MSIONIPENDA……hali hii imenichosha sana ya matukio ya ajali kila mara natamani kuwa na amani na maisha yangu couz mungu ana sababu kuniacha niendelee kupumua mpka leo ila kwa wanaochukia kuona napumua wanatamani nizikwe hta mzima ila mtambue nina watot 3 wananitegemea kwa kila kitu smtime mnasema nasikitika sana ni kweli sababu mi sio nabii nikihesabu hii ni ajali ya ya 9 sasa tena ni mbaya sana za kufa kabsa ila labda nimo kwa wale wanaopta ajali kipindi hiki japo kwangu ni too much,, ni jana na leo napumua alhamdulilah duwa zenu niombeni jamani huyu jinamizi akae mbali nami daah too much”ameandika Wastara
Ikumbukwe kuwa Wastara aliwahi kupata ajali kipindi cha nyuma, iliyopelekea kupoteza mguu wake.