Jumamosi, 13 Februari 2016

MBEYA CITY YAWAFUNGA MIDOMO MASHABIKI WAO YATOA ONYO KWA AZAM FC TOTO KALA TANO

Mbeya city wameitumia Azam FC salamu baada ya leo kuichapa goli 5-1 Toto African ya mwanza katika mchezo wa kwanza wa kocha mpya wa timu hiyo Khina Phiri katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom uliochezwa katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Mbeya city wanatarajiwa kuwakaribisha Azam FC katika mchezo ujao utakao chezwa februari 20 katika uwanja wa Sokoine, na ushindi huu wa leo unazidisha ari ya wachezaji wa Mbeya city chini ya kocha Phiri.