Alhamisi, 8 Oktoba 2015

MGOMBEA UDIWANI KATA YA SISIMBA AZINDUA KAMPENI ZAKE ASEMA AKICHAGULIWA KUWA DIWANI WA KATA YA SISIMBA WAMACHINGA NA MAMA LISHE WATANUFAIKA

 Katibu Mwenezi Bashiru Madodi Akimnadi Mgombea Udiwani wa kata ya Sisimba Shadrack Makombe Kulia na Kuwaomba Wakazi Wa kata ya Sisimba,kumpigia Kura Ifikapo Tarehe 25
 Burudani Hapa Kazi tu  Ndio Wakina Dada Wakiserebuka na Burudani toka Kwa Bendi ya Baby Tot
 Sambwee Shitambala Akitoa Sera katika Viwanja vya Garden Park Sokoine Mbeya
 Dr Mary Mwanjelwa  akifuatilia kwa Umakini Baadhi ya Sera za Shadrack Makombe
Dr Mary Mwanjelwa akiwa Na wakereketwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Chifu Akitoa Maneno yenye Busara Mbele ya Mgombea Udiwani wa Chama Cha Mapinduzi
Mgombea Udiwani  wa  Kata ya Sisimba Shadrack Makombe akipokea Ilani ya Chama Chake