Jumamosi, 11 Julai 2015

Nape nnauye aongea na waandishi wa habari na kutaja majina matano yawanaugombea urais kupitia chama cha mapinduzi

Majina ya wagombea urais kupitia chama cha mapinduzi ccm ni hawa watano,January makamba,John magufuli,dr.asha rose migiro,bernad membe,na balozi Amina ally.