Jumapili, 19 Julai 2015

Mgombea Urais Kupitia Chama Cha Mapinduzi Mh.Magufuli Atikisa Geita

Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Wanaccm na Wananchi wa Mkoa wa Geita, Wakati aliposimama kuwasalimia akitokea jijini Mwanza kuelekea Kijijini kwake Chato. Hapa ni Kivukoni Busisi Mkoani hapo, mapema asubuhi ya leo.


Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya Wanaccm na Wananchi wa Mkoa wa Geita, mara baada ya kuwasili mapema leo asubuhi.