Jumanne, 28 Julai 2015

KUNANI KWENYE UBUNGE MPAKA WATU WANA GALAGALA NA KUPIGA MAGOTI SHUHUDIA MWENYEWE KWA KUTAZAMA HARUBUTZ KAZI IPO MWAKA HUU CCM

Nwaka Mwakisu Mgombea Ubunge kupitia chama cha (CCM) akijinadi mbele ya Wanachama wa chama chake katika kata ya Mwansekwa iliyopo jijini Mbeya .
Mgombea Ubunge wa (CCM) Sambwee Shitambala akinena mbele ya wanachama wake kuhusu makada waliovamia kuchukua Fomu za Ubunge kupitia ccm.

Mgombea Ubunge wa (CCM) Shadrack Makombe akiselebuka mbele ya Wanachama wa ccm.
Charles Mwakipesile akiongea na Wanachama wa (CCM) kata ya mwansekwa na kuwaomba Kura.
 Mgombea Ubunge Aman Kajuna akiwa amepiga magoti mbele ya wanachama wa chama chake
Mgombea Ubunge Fatuma akiwa anawapigia magoti wanachama na kugalagala mbele yao.