timu ya taifa kama wanavyojiita wakiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya mchezo wa leo
stendi fc kama wanavyojiita wazee wa ng'ata ng'ata wakiwa kwenye picha ya pamoja leo
mchezaji hatari wa ilemi fc meshack akiwa na mpira akitaka kumtoka beki wa stendi fc
shabiki wa timu ya ilemi fc akiwa anafanya mabo yake katika mchezo wa leo dhidi ya stendi
shabiki wa stendi fc kwa jina maarufu masanja akiwa katika pozi na kamera ya harubutz
hawa ni mashabiki wa stendi fc wakiwa wanatoa burudani kwa mashabiki wao uwanjani