Jumanne, 9 Septemba 2014

YANGA HIYO FIFA

Taarifa kutoka klabu ya yanga imesema swala lao kuhusu okwi linakwenda FIFA wakizungumza Jana na waandishi wa habari wamesema TFF wamekiuka ibara ya 19 pamoja na vipengere mbalimbali